SOMO LA PILI Day 2 Reading ()
By
SOMO LA PILI (Week 1-Day 2) Hujambo? Jina langu ni Rebeka. Jina la mume wangu ni Daudi. Tuna watoto wawili wasichana. Majina yao ni Grace na Jovinta. Tunakaa mtaa wa Mori, eneo la Sinza. Leo tunate...