SOMO LA TANO Day 5 Reading ()
By
SOMO LA TANO (Week 1-Day5) Jana Mama Aisha alikuwa na wageni. Wageni walikuwa ni Rebeka, mume wake Daudi na mtoto wao Jovinta. Mama Aisha alimkaribisha Rebeka kwa sababu ni rafiki yake mkubwa na wana...