SOMO LA KWANZA Day 1 Reading ()
By
SOMO LA KWANZA (Week 1-Day1) Habari? Mimi ni Mama Aisha. Nina watoto wawili, majina yao ni Aisha na Omari. Aisha anakaa nyumbani. Omari anakaa shuleni. Leo nitakuwa na wageni nyumbani. Wageni ni fam...