SOMO LA SABA Day 7 Reading ()
By
SOMO LA SABA (Week 2-Day 2) John ni kijana mwenye umri wa miaka kumi na sita. Ni mtoto mvulana wa Mzee Robert na Safina. Yeye anasoma shule ya sekondari ya Tambaza. Ni shule ya kutwa ambayo iko kat...