SOMO LA THELATHINI Day 30 Reading ()
By
SOMO LA THELATHINI (Week 6-Day 5) Koku na familia yake wanakaa mji mkuu wa Uganda Kampala. Mji wa Kampala unakaliwa na wakazi wa makabila mbali mbali. Hata hivyo mji huo una idadi kubwa ya jamii k...