Public Swahili Library
Swahili texts and videos for you to practice reading. These were all shared by users of Readlang. Click-to-translate while reading, and review your new vocabulary with flashcards.
via ,
Non-Fiction,
Master,
88
Hakuna mwanafunzi wa shule aliyepata upendo wa misamiati mawili kama yule aliyepata upendo wa masamiati ya Afrika. Alipata fahamu ya maana yake, alijaribu kutumia kila siku katika maandishi yake ya ki
Read More...
Samori Camara,
via ,
,
Advanced,
265
Mwanzo wa muda, katika kijiji cha Afrika, kulikuwa na mtoto wa kiume aliyeitwa Kofi ambaye alikuwa anafikiriwa kuwa mkwaju. Kofi alijifunza kila siku kutumia mkepe na mkono wa kutetemeka, akijifunza k
Read More...
via ,
Non-Fiction,
Advanced,
1755
Wayahudi (kwa Kiebrania יְהוּדִים, Yehudim) ni kundi la kikabila na la kidini lenye asili yake katika eneo la Israeli ya Kale (Mashariki ya Karibu). Kabila la Kiyahudi, taifa la Kiyahudi na dini
Read More...
via ,
Non-Fiction,
Master,
439
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Amosi Makala amekemea vikali wizi wa miundombinu ya maji ikiwemo mabomba na mita za maji unaoendelea na kuwataka wananchi kushirikiana na serikali katika kudhibiti wizi
Read More...
via ,
Non-Fiction,
Master,
142
Mgonjwa wa pili wa virusi vya Ebola katika jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, amefariki.
Shirika la afya duniani WHO, limetangaza kifo hicho, kufuatia mlipuko mpya wa Ebola nchini DRC.
Vipimo vya mad
Read More...
via ,
,
Intermediate,
205
SOMO LA KWANZA
(Week 1-Day1)
Habari? Mimi ni Mama Aisha. Nina watoto wawili, majina yao ni Aisha na Omari. Aisha anakaa nyumbani. Omari anakaa shuleni. Leo nitakuwa na wageni nyumbani. Wageni ni fam
Read More...
via ,
,
Intermediate,
213
SOMO LA PILI
(Week 1-Day 2)
Hujambo? Jina langu ni Rebeka. Jina la mume wangu ni Daudi. Tuna watoto wawili wasichana. Majina yao ni Grace na Jovinta. Tunakaa mtaa wa Mori, eneo la Sinza. Leo tunate
Read More...
via ,
,
Intermediate,
223
SOMO LA SABA
(Week 2-Day 2)
John ni kijana mwenye umri wa miaka kumi na sita. Ni mtoto mvulana wa Mzee Robert na Safina. Yeye anasoma shule ya sekondari ya Tambaza. Ni shule ya kutwa ambayo iko kat
Read More...
via ,
,
Intermediate,
245
SOMO LA TATU
(Week 1-Day3)
Hamjambo! Habari za siku nyingi? Mimi ni Baba Aisha. Mke wangu ni Mama Aisha. Mtoto wangu mdogo ni Aisha. Leo Mama Aisha amepika chakula kizuri sana. Pia kuna vinywaji v
Read More...
via ,
,
Upper Intermediate,
221
SOMO LA SITA
(Week 2-Day 1)
Aisha ni mtoto anasoma katika shule ya watoto wadogo ya Bungoni Chekechea. Shule iko mtaa wa Ilala. Leo mama yake alimpeleka mapema shuleni kabla ya kwenda kazini. Aisha a
Read More...
via ,
,
Upper Intermediate,
195
SOMO LA NNE
(Week 1-Day4)
Daudi na Rebeka na familia yao wanakaa mtaa wa Mori, eneo la Sinza mjini Dar es Salaam. Wana watoto wasichana wawili, Jovinta na Grace. Jovinta anasoma shule ya wasichana ya
Read More...
via ,
,
Upper Intermediate,
198
SOMO LA TANO
(Week 1-Day5)
Jana Mama Aisha alikuwa na wageni. Wageni walikuwa ni Rebeka, mume wake Daudi na mtoto wao Jovinta. Mama Aisha alimkaribisha Rebeka kwa sababu ni rafiki yake mkubwa na wana
Read More...
via ,
,
Advanced,
434
SOMO LA THELATHINI
(Week 6-Day 5)
Koku na familia yake wanakaa mji mkuu wa Uganda Kampala. Mji wa Kampala unakaliwa na wakazi wa makabila mbali mbali. Hata hivyo mji huo una idadi kubwa ya jamii k
Read More...
via ,
,
Upper Intermediate,
249
SOMO LA KUMI
(Week 2-Day 5)
Kabla ya kumaliza sherehe Daudi, Robert na Jerry ambaye ni afisa mkuu katika ofisi ya Diplomasia ya Umma walikuwa na mazungumzo mafupi. Walipanga kukutana tena katika mkah
Read More...
via ,
,
Upper Intermediate,
229
SOMO LA TISA
(Week 2-Day 4)
Katika mazungumzo na Naibu Balozi, Robert alijitambulisha kwamba kazi yake yeye ni mwanahabari. Alizaliwa katika mji wa Igunga, mkoa wa Tabora ulioko magharibi mwa Tanz
Read More...
via ,
,
Advanced,
236
SOMO LA NANE
(Week 2-Day 3)
Robert anafanya kazi katika shirika la taifa la habari. Yeye ni mwandishi habari, amefanya kazi kwa muda wa miaka kumi na nane. Robert ana rafiki yake anaitwa Daudi, anafa
Read More...
via ,
,
Intermediate,
273
SOMO LA KUMI NA MOJA
(Week 3-Day 1)
Owino anakaa mji wa Kisumu, ulioko magharibi mwa Kenya. Yeye anatoka katika jamii ya Wajaluo. Wakazi wengi wa mji wa Kisumu ni kabila la Wajaluo. Baba yake ni mv
Read More...
via ,
,
Master,
510
SOMO LA AROBAINI
(Week 8-Day 5)
Kakobe ni kijana mwenye umri wa miaka kumi na nane ambaye amemaliza shule ya msingi katika kijiji cha Nzala kilichoko kiasi cha maili 20 kutoka mji mdogo wa Kabanga wi
Read More...
via ,
,
Master,
513
SOMO LA THELATHINI NA TISA
(Week 8-Day 4)
Kama tulivyosoma katika somo la thelathini na sita, huko Afrika Mashariki, hali ya maisha katika sehemu nyingi za mashambani ni mbaya kulinganisha na sehemu
Read More...
via ,
,
Advanced,
519
SOMO LA THELATHINI NA NANE
(Week 8-Day 3)
Katika bara la Afrika na nchi zingine zinazoendelea, maisha ya sehemu za mijini yanaweza kuwa mazuri au mabaya kutegemea na hali halisi ya mtu anayehusika. M
Read More...